Posts

Showing posts from March 18, 2023

PRINT PDF

Print Friendly and PDF

​Mbinu ya majazi

​Mbinu ya majazi : Majazi ni mbinu ambayo mwandishi hutumia kuwapa wahusika majina kulingana na tabia zao. Mbinu hii inadhihirika kupitia kwa wahusika kama vile:

LAKABU

LAKABU : ​Lakabu ni mbinu ambayo mwandishi hutumia kuwapa wahusika majina mbali na majina yao halisi. Lakabu huwa ni jina la kupanga au jina la kutania. Mhusika ametumia mbinu hii kuwarejelea wahusika kama vile:

​Kuchanganya ndimi

​Kuchanganya ndimi : Kuchanganya ndimi ni mbinu inayotumiwa na mwandishi kuonyesha hali ya kuzungumza lugha mbili au zaidi kwa pamoja. Mwandishi wa tamthilia hii ametumia mbinu hii katika uandishi wake kama ishara ya maudhui ya elimu na pia kusawiri hadhi ya wahusika fulani k

ADTHIS

SHARE

sponsors

Latest Questions with Answers

Contact Form

Name

Email *

Message *