Maswali na Majibu ya Ushairi Kidato cha Nne : Nikiwa na njaa na matambara mwilini Nimehudumika kama hayawani Kupigwa na kutukanwa Kimya kama kupita kwa shetani Nafasi ya kupumzika hakuna Ya kulala hakuna Ya kuwaza hakuna Basi kwani hili kufanyika Ni kosa gani lilotendeka Liloniletea adhabu hii isomal
Maswali na Majibu ya Ushairi Kidato cha Nne : Jukwaninaingia, hukuhapapasokota, Kwauchunguninalia, hiitumbonitaikata, Msibamejiletea, nimekilakisotakata, We tumbonitakupani, uweumetosheka?
Maswali na Majibu ya Ushairi Kidato cha Nne : Wanaume ni Wanyama Nakumbuka vyema sana, sisahau siku ile Nilipoitwa na nina, akanipa ya kivyele Mwanangu u msichana, nakuasa usikile Si watu waone vile, wanaume ni wanyama.
Maswali na Majibu ya Ushairi Kidato cha Nne : KAMA SODOMA! Miji yetu kwa yakini, kidogo kama Sodoma! Haihitaji makini, kwa mwenye macho mazima Utaona walakini, mradi ukitizama Wanazini hadharani, wana kwa watu wazima Yafanana na Sodoma, miji yetu kwa yakini.
Maswali na Majibu ya Ufupisho Kidato cha Nne : Ukiwa mtoto unadhani ulimwengu ni kipande kimoja cha keki kilicho kitamu mithili ya asali. Hakuna dhiki, hakuna mateso, hakuna kuhuzunika kwa ama yoyote. Neno huzurn linasikika masikioni kama neno lisiloelekea kwenye uhalisia wowote.
Maswali na Majibu ya Ufahamu : Wanasaikolojia wanabainisha kati ya sehemu mbili kuu katika akili ya binadamu; ung’amuzi na ung’amuzibwete. Ung’amuzi ni sehemu ya ubongo ambayo kimsingi hupanua na kudadavua yanayotendeka hususan mchana. Ung’amuzibwete ni kibinimethali chake; hufanya kaz
Maswali na Majibu ya Ufupisho Kidato cha Nne : Binadamu wana mazoea ya kufikiria kuwa jinsi wafanyavyo, waongeavyo na wafikiriavyo kuhusu vitu ndivyo inavyopasa kuwa. Kama binandamu tunaamini njia yetu ndiyo sahihi, yenye mantiki na inayopasa kufuatwa na kila mtu. Msingi huu huu unakwenda kinyume na k