Mwongozo wa chozi la heri : Mwongozo huu unanuiwa kumwongoza mwanafunzi ili kuilewa vyema pamoja no kuelewa uliopo kwenye Riwaya. Hata hivyo ni muhimu mwanafuzi aisome Riwayakwanza kabla yakuutumia mwongozo huu. Pia ni vizuri mwanafunzi kuisoma na kuielewa Riwaya hata kama ni mara tatu, kabla ya kuujjbu mtihani wake mwisho wa Sekondari(KCSE). Mwongozo huu ni maoni ya waandishi kulingana najinsi walivyoifiki Riwaya hii, wenyewe. Mwanafunzi anahimizwa kuzua maoni ziada kuhusu masuala waliyozungumzia waandishi huku jaribu kuyaoanisha na hali halisi katika eneo alirnotok, :,nchini, barani au kwingineko ulimwenguni ambapo maudhui yanayojadiliwa yanajitokeza. Kuna maelezo kuhusu uliotumika kwenye jalada, Ufaafu wa anwani, muhtasari wa/1 ura(msukomtiririko) ,dhamira ya mwandishi, maudhui, sifa za wahusika, fani na Maswali ya marudio. Haya yote yanalenga kumhamasisha mwanafunzi kuielewa vyema Riwa ya Chozi la Heri. Ni muhimu kwa mwanafunzi kuelewa mtiririko wa Riwaya kwa undani ili kuweza kue...