Posts

Showing posts from March 21, 2023

PRINT PDF

Print Friendly and PDF

​Asna

​Asna : Bintiye Yona wa pili. Ni mdogo wake Neema. Asna ni mhusika msaidizi. Anamsaidia msomaji kuelewa baadhi ya masuala yanayojadiliwa katika tamthilia.

​Neema

​Neema : Neema ambaye ni binti wa Yona na Sara ni mhusika mjenzi. Neema ni mke wa Bunju. Wasifu wa Neema unadhihirika kutokana na kauli zake na za watu wengine pamoja na matendo yake. Neema anadhihirisha sifa kadhaa:

​Dina

​Dina : Ni mama wa umri wa makamu na jirani wa Sara na Yona.

​SARA

​SARA : Sara ni mke wa Yona. Yeye pia ni mhusika mkuu kwa sababu anahusika na karibu masuala yote ya tamthilia hii. Ndoa yake ilikuwa na changamoto nyingi zikiwemo mahitaji ya kiuchumi, fujo za mumewe ambaye alikuwa akishiriki ulevi na ugonjwa wa moyo uliomkaba.

ADTHIS

SHARE

sponsors

Latest Questions with Answers

Contact Form

Name

Email *

Message *