Posts

Showing posts from March 19, 2023

PRINT PDF

Print Friendly and PDF

​Mbinu za kishairi

​Mbinu za kishairi : Mbinu za kishairi ni sehemu muhimu ya matumizi ya lugha katika tungo za kitamthilia. Miongoni mwa mbinu hizo muhimu ni takriri.

Wahusika wadogo

Wahusika wadogo : Salome na Mina: Wahusika wadogo ambao wanatajwa tu. Hawashiriki moja kwa moja katika masuala ya tamthilia hii. Salome ni mwanawe Yona na Mina ni bintiye Bunju na Neema.

​Tashihisi

​Tashihisi : Tashihisi ni mbinu ya mwandishi kuvipa viumbe visivyo na uhai sifa za uhai au za kibinadamu. Pia huitwa uhuishi

​Sitiari

​Sitiari : Ni mbinu ya lugha inayotumia ulinganisho wa moja kwa moja wa kitu na kingine. Kitu kimoja husemwa kuwa kingine. Mifano ya sitiari katika tamthilia ya Bembea ya Maisha.

​METHALI

​METHALI : Methali ni aina ya semi ambayo huwa na muundo maalumu. Hueleza ukweli fulani wenye maana pana na unaoweza kufasiriwa kwa njia mbalimbali.

ADTHIS

SHARE

sponsors

Latest Questions with Answers

Contact Form

Name

Email *

Message *