PRINT PDF

Print Friendly and PDF

Mwongozo wa chozi la heri

Mwongozo wa chozi la heri: Mwongozo huu unanuiwa kumwongoza mwanafunzi ili kuilewa vyema pamoja no kuelewa uliopo kwenye Riwaya. Hata hivyo ni muhimu mwanafuzi aisome Riwayakwanza kabla yakuutumia mwongozo huu. Pia ni vizuri mwanafunzi kuisoma na kuielewa Riwaya hata kama ni mara tatu, kabla ya kuujjbu mtihani wake mwisho wa Sekondari(KCSE). Mwongozo huu ni maoni ya waandishi kulingana najinsi walivyoifiki Riwaya hii, wenyewe. Mwanafunzi anahimizwa kuzua maoni ziada kuhusu masuala waliyozungumzia waandishi huku jaribu kuyaoanisha na hali halisi katika eneo alirnotok, :,nchini, barani au kwingineko ulimwenguni ambapo maudhui yanayojadiliwa yanajitokeza. Kuna maelezo kuhusu uliotumika kwenye jalada, Ufaafu wa anwani, muhtasari wa/1 ura(msukomtiririko) ,dhamira ya mwandishi, maudhui, sifa za wahusika, fani na Maswali ya marudio. Haya yote yanalenga kumhamasisha mwanafunzi kuielewa vyema Riwa ya Chozi la Heri. Ni muhimu kwa mwanafunzi kuelewa mtiririko wa Riwaya kwa undani ili kuweza kuelewa ujumbe wa mwandishi na mbinu anazotumia kuubainisha ujumbe huo. Fahamu kuwa iwapo mwanafunzi atauelewa mtiririko wa kazi hus ka hatatatizika wakati wa kuyajibu maswali, akakanganva matukio au 'kubuni' matukio ambayo hayamo Riwayant. Katika sehemu ya mwisho, waandishi wametoa mifano ya maswali pamoja na mifano ya majibu mwafaka. Mwanafuntl ajibidiishe ili kuwa na uzoefu wa kuyajibu maswali atakayo ulizwa na mtahini katika mitihani ya karatasi ya 3

Comments

ADTHIS

SHARE

sponsors

Latest Questions with Answers

Popular posts from this blog

List down eight achievements of King David in Israel

Contact Form

Name

Email *

Message *