PRINT PDF

Print Friendly and PDF

​SARA

​SARA: Sara ni mke wa Yona. Yeye pia ni mhusika mkuu kwa sababu anahusika na karibu masuala yote ya tamthilia hii. Ndoa yake ilikuwa na changamoto nyingi zikiwemo mahitaji ya kiuchumi, fujo za mumewe ambaye alikuwa akishiriki ulevi na ugonjwa wa moyo uliomkaba.

Comments

ADTHIS

SHARE

sponsors

Latest Questions with Answers

Popular posts from this blog

The computer Lab Rules and Regulations

Contact Form

Name

Email *

Message *