Maswali na Majibu ya Ufupisho Kidato cha Nne
Maswali na Majibu ya Ufupisho Kidato cha Nne: Ukiwa mtoto unadhani ulimwengu ni kipande kimoja cha keki kilicho kitamu mithili ya asali. Hakuna dhiki, hakuna mateso, hakuna kuhuzunika kwa ama yoyote. Neno huzurn linasikika masikioni kama neno lisiloelekea kwenye uhalisia wowote.
Comments
Post a Comment
Talk about this Post: