Maswali na Majibu ya Ushairi Kidato cha Nne
Maswali na Majibu ya Ushairi Kidato cha Nne: KAMA SODOMA!
Miji yetu kwa yakini, kidogo kama Sodoma!
Haihitaji makini, kwa mwenye macho mazima
Utaona walakini, mradi ukitizama
Wanazini hadharani, wana kwa watu wazima
Yafanana na Sodoma, miji yetu kwa yakini.
Comments
Post a Comment
Talk about this Post: