State one chemical used in relieving a ruminant animal of bloat and other Agriculture questions and answers - Downloads, Questions or Answers : State one chemical used in relieving a ruminant animal of bloat State two reasons why drenching alone is not an effective method of controlling internal parasite in livestock State the class of each of the following feedstuff (i) Molasses Energy concentrate (ii) Mac Lick supplement Name the type of breeding system represented below Upgrading/grading up […]
Binomial Nomenclature : Scientists use scientific names to be able to communicate easily among themselves. This method of naming uses two names, and is called Binomial nomenclature.
Asna : Bintiye Yona wa pili. Ni mdogo wake Neema. Asna ni mhusika msaidizi. Anamsaidia msomaji kuelewa baadhi ya masuala yanayojadiliwa katika tamthilia.
Neema : Neema ambaye ni binti wa Yona na Sara ni mhusika mjenzi. Neema ni mke wa Bunju. Wasifu wa Neema unadhihirika kutokana na kauli zake na za watu wengine pamoja na matendo yake. Neema anadhihirisha sifa kadhaa:
SARA : Sara ni mke wa Yona. Yeye pia ni mhusika mkuu kwa sababu anahusika na karibu masuala yote ya tamthilia hii. Ndoa yake ilikuwa na changamoto nyingi zikiwemo mahitaji ya kiuchumi, fujo za mumewe ambaye alikuwa akishiriki ulevi na ugonjwa wa moyo uliomkaba.
Sadfa : Sadfa katika fasihi ni hali ambapo matukio mawili hutokea kwa wakati mmoja bila kupangwa na kwa namna ya kushangaza au inayoashiria bahati. Mbinu ya sadfa imetumiwa mara kadhaa katika tamthilia ya Bembeaya Maisha.
Mbinu rejeshi : Mbinu rejeshi ni sehemu katika kazi ya fasihi inayozungumzia matukio katika wakati uliopita. Pia huitwa kiangaza nyuma. Mbinu hii imetumika katika sehemu mbalimbali katika tamthilia ya Bembea ya Maisha. Kimsingi, mbinu hii imetumika kutofautisha maisha ya
Mbinu rejeshi : Mbinu rejeshi ni sehemu katika kazi ya fasihi inayozungumzia matukio katika wakati uliopita. Pia huitwa kiangaza nyuma. Mbinu hii imetumika katika sehemu mbalimbali katika tamthilia ya Bembea ya Maisha. Kimsingi, mbinu hii imetumika kutofautisha maisha ya
MBINU ZA KIMUUNDO : Mbinu za kimuundo hutumiwa na mwandishi kuendeleza msuko wa kazi ya fasihi. Mwandishi wa tamthilia ya Bembea ya Maisha ametumia mbinu kadhaa za kimuundo kujenga msuko wa tamthilia yenyewe.
Ishara na taashira : Ishara katika fasihi hutumiwa kurejelea kitendo, hali au kitu kinachodokeza au kuonyesha dalili ya kitu kingine. Nayo taashira ni alama mahususi ambazo huhusishwa na hali fulani katika jamii.
Wahusika wadogo : Salome na Mina: Wahusika wadogo ambao wanatajwa tu. Hawashiriki moja kwa moja katika masuala ya tamthilia hii. Salome ni mwanawe Yona na Mina ni bintiye Bunju na Neema.
Sitiari : Ni mbinu ya lugha inayotumia ulinganisho wa moja kwa moja wa kitu na kingine. Kitu kimoja husemwa kuwa kingine. Mifano ya sitiari katika tamthilia ya Bembea ya Maisha.
Mbinu ya majazi : Majazi ni mbinu ambayo mwandishi hutumia kuwapa wahusika majina kulingana na tabia zao. Mbinu hii inadhihirika kupitia kwa wahusika kama vile:
LAKABU : Lakabu ni mbinu ambayo mwandishi hutumia kuwapa wahusika majina mbali na majina yao halisi. Lakabu huwa ni jina la kupanga au jina la kutania. Mhusika ametumia mbinu hii kuwarejelea wahusika kama vile:
Kuchanganya ndimi : Kuchanganya ndimi ni mbinu inayotumiwa na mwandishi kuonyesha hali ya kuzungumza lugha mbili au zaidi kwa pamoja. Mwandishi wa tamthilia hii ametumia mbinu hii katika uandishi wake kama ishara ya maudhui ya elimu na pia kusawiri hadhi ya wahusika fulani k
ULEVI : Maudhui ya ulevi yameangaziwa kupitia mhusika Yona. Tunaelezwa kuwa Yona alijiingiza katika ulevi baada ya kushinikizwa na wanajamii kumuoa mke mwingine atakayemzalia mtoto wa kiume. Shinikizo hili lilimfanya kuingilia ulevi kwa hali ya juu zaidi.
KCSE PAST PAPERS 2020 MUSIC PAPER 3 MARKING SCHEME - ANSWERS : KCSE PAST PAPERS 2020 MUSIC PAPER 3 MARKING SCHEME - ANSWERS kcse 2020 papers with marking scheme pdf kcse 2021 marking schemes pdf kcse 2020 papers pdf download kcse past papers with answers pdf kcse mathematics paper 2 2020 marking scheme kcse mathematics paper 1 2020 questions and answers kcse 2020 past papers kcse mathematics paper 2 2020 questions and answers
KCSE PAST PAPERS QUESTION PAPERS, MARKING SCHEMES, ANSWERS, REPORTS BY SUBJECT : this section is the arrangement of kcse past papers according to individual subjects from 1989 to last year. KCSE PAST PAPERS QUESTION PAPERS, MARKING SCHEMES, ANSWERS, REPORTS BY SUBJECT
All Categories : Primary Resources K.C.P.E Past Papers Pri - Primary 1 Level Pri - Primary 2 Level Grade 1 Grade 2 Grade 3 Grade 4 Standard 5 Standard 6 Standard 7 Standard 8 English Kiswahili Social Studies...
STATE FOUR COMPUTER LABORATORY MEASURES THAT ARE MEANT TO PROTECT THE USERS : STATE FOUR COMPUTER LABORATORY MEASURES THAT ARE MEANT TO PROTECT THE USERS
DECLARATION OF VACANT POSITION IN THE PUBLIC SERVICE - GOVERNMENT SPOKESPERSON (1) POST. : DECLARATION OF VACANT POSITION IN THE PUBLIC SERVICE - GOVERNMENT SPOKESPERSON (1) POST.
NATIONAL GOALS OF EDUCATION IN KENYA and GENERAL LEARNING OUTCOMES FOR EARLY YEARS EDUCATION : What Are The National Goals Of Education In Kenya?, National Goals Of Education In Kenya, National Goals Of Education, Goals Of Education In Kenya, Goals Of Education
cre form 3 notes in pdf : do you really want to perform in CRE? this book contains comprehensively assembled notes from various resources and recommend by a number of teachers for use. these notes have assisted students improve in CRE since the year 2015. You can as well get a copy and see your performance chart moving up now.
GRADE 6 AND 5 YEAR 2023 REVISION QUESTIONS WITH ANSWERS NOW AVAILABLE FOR USE. : GRADE 6 AND 5 YEAR 2023 REVISION QUESTIONS WITH ANSWERS NOW AVAILABLE FOR USE.
The Gifts of the Holy Spirit and Teachings by Jesus Christ, Peter and Paul. : The Holy Spirit is the third person in blessed trinity that is made up of God the father, Jesus Christ and the Holy Spirit. During his farewell, Jesus assured his disciples that when he this world god would send them the Holy Spirit.
HOW TO RECOVER EPSON SCANNER PREVIEW WINDOW NOT SHOWING UP ON WINDOWS OPERATING SYSTEM : HOW TO RECOVER EPSON SCANNER PREVIEW WINDOW NOT SHOWING UP ON WINDOWS OPERATING SYSTEM
utawala mbaya ni tatizo sugu linalozikumba nchi nyingi za kiafrika; Jadili kwa kurejelea matukio ishirini katika tamthilia ya kigogo.(al 20) : utawala mbaya ni tatizo sugu linalozikumba nchi nyingi za kiafrika; Jadili kwa kurejelea matukio ishirini katika tamthilia ya kigogo.(al 20)